Sure. Themi Hill is the best school, maana mwanangu yupo KG II lakini anajua mambo ya kisomi kama ameshasoma miaka mingi kiingereza ndiyo zaidi.