FORM SEC GIRLS
FORM SEC BOYS
PRIMARY- DAY
PRIMARY- BOARDING
PRE- FORM ONE
Answers
Frequently Asked Questions
Mtoto anapokelewa kuanzia umri wa:
- NURSERY miaka mitatu (3)
- PRIMARY miaka saba (7)
Ada hulipwa kwa awamu nne (4) kwa SECONDARY na awamu tatu (2) kwa NURSERY na PRIMARY Malipo yote hufanywa kupitia benki kwa akaunti namba utakazozipata kwenye fomu ya kujiunga.
Tuna Bweni kwa NURSERY na PRIMARY tu, SECONDARY ni bweni wote
Tunatoa huduma ya usafiri kwa watoto wa kutwa kuwachukua asubuhi na kuwarudisha muda wa masomo ukiisha